MyTUNEiN Online TV And Internet Radio Directory

Radio Safina 92.6 FM

Listen to Radio Safina 92.6 FM LiVE from Arusha, Tanzania, Africa on the best platform for the best radio stations and listeners, MyTUNEiN radio directory, for free.

Radio Safina 92.6 FM
Buffering ...

Radio Safina 92.6 FM ni kituo cha Radio kilichoanzishwa kwa madhumuni ya kueneza neno la mungu kwa njia ya Radio, kituo hiki kinapatikana Jijini Arusha na kinarusha matangazo yake ya kueneza neno la mungu kupitia masafa ya FM 92.60.

Radio Safina imekuwa ikiendesha vipindi vyake vya kila siku kwa kuhubili neno la Yesu kwa kutumia Watumishi wa mungu walio makini katika kutoa neno la kiroho kwa wale wote wanaoifatilia vipindi vyake kwa njia ya Radio na ata kupitia mtandao.

Radio Safina inazidi kujitanua, ili iweze kusikika nchi nzima ya Tanzania, kwa hivi sasa inasikika baadhi ya mikoa kama Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga, vilevile imefanikiwa kuwafikia wale wote wanaotumia mtandao kwa kuwatengenezea hii blog ili waweze kusikiliza neno la mungu kwa njia ya mtandao, na hii ni kutokana na redio yetu kushindwa kuwafikia wahitaji wote asa wale walioko nje ya nchi, hivyo basi kupitia mtandao na wao wataweza kusikiliza vipindi vyetu kama kawaida, lakini ili Radio Safina iweze kutimiza malengo yake ya kupeperusha bendera ya Yesu Tanzania nzima kwa njia ya Radio inaitaji sana mchango wako na ushirikiano wako ili iweze kufanikisha haya malengo ya kueneza neno la Mungu.

LOCATION: Arusha, Tanzania, Africa.

PHONE: 0788335134 | WEBSITE

 

TRENDING RADIO 📻 & TV 📺